Nitauimba Wimbo (I Will Sing the Song) Lyrics by Samson Maombi

Ni wimbo ambao umebeba ujumbe kwa pamoja katika usiku mkuu
(It is a song that has carried the word in the heavy night)
Na wimbo huu waweza tia matumaini mwanadamu anapoanguka
(And this song can give hope to a human when they fail)
Ni wimbo mtamu unaweza fungua minyororo kwa waliofungwa awali
(It is a sweet song that can break the chains of those who were bound)
Waweza kuwa na hakika kupitia wimbo njia yako ya kupitia
(Through the song, you can have assurance on your journey)