Nami kama akida, Bwana ukisema neno tu
(I am like the Centurion, Lord if You just say the world)
Hapa nilipo, shida zangu zitakoma (Where I am, my troubles will cease)
Yaani kama akida, Bwana utamke neno tu (hebu sema neno)
(Just like the centurion, Lord if you say one word–just say the word)
Hapa nilipo, shida zangu zitakoma (Where I am my troubles will cease)