Viumbe vyote vinakutukuza (All creation exalt You)
Maana wewe ndiwe Messiah (For You are the Messiah)
Vinainama, vinainuka (They bow down, they rise up)
Mbele zako Bwana (Before You, Lord)
Vinainama, vinainuka (They bow down, they rise up)
Ni wewe Messiah (You are the Messiah)