Vyote nilivyo navyo, ulivyo nipea (All that I have, that You have given me)
Umenipendelea (You have favored me)
Uhai huu, neema hii, umenipendelea (This life, this Grace, )
Sijivunii kwa chochote ulichokifanya (I do not boast of anything that You have given)
Umenipendelea (You have favored me)
Afya hii, pumzi hii (This life, this breath)
Umenipendelea (You have favored me)