Nawezaje Kunyamaza (How Can I be Silent) Lyrics by Dr Ipyana

Nawezaje kunyamaza? (How can I be silent?)
Wakati umefanya (When you have done)
Eeh namna hii (Things like this)
Sijaona namna hii (I have never witnessed such as these)
Nawezaje kutulia? (How can I be calm?)
Eeh namna hii (Things like this)
Sijaona namna hii (I have never witnessed such as these)
Nawezaje kutulia? (How can I be calm?) (Repeat)