Kaa Nami (Abide in Me) Lyrics by Israel Mbonyi

Ikiwa nimepata neema kwako, unikumbuke (If I have found favor in Your eyes, remember me)
Jicho lako liwe juu yangu nyakati zote (Your eye to be on me all the time)
Wema wako unisindikize, hadi tamati (Your Goodness escort me, until the end)
Hili ni ombi langu, nakumwagia moyo (This is my prayer, I pour my heart to You)
N’nachoomba kaa nami, ikiwa nimepata neema kwako (I pray that you abide with me, if I have found Grace before You)