Ayala (Deer) Lyrics by Eunice Njeri Muthii

Kama ayala, aionavyo kiu (As the deer pants for water)
Ndivyo nafsi yangu yakutamani (So my soul pants for You)

Naweka moyo kweye hija (I have set my heart on a pilgrimage)
Bonde la kilio nitapita (I shall pass through the valley of tears)
Naweka moyo kweye hija (I have set my heart on a pilgrimage)
Sayuni kwako nisimame (Until I stand in Your Zion)