Ikiwa Wananiuliza (If they Ask Me) Hymn Sung by Papi Clever and Dorcas Ft. Merci Pianist

Kwa uhodari nitajibu (I will boldly answer)
“Msingi wangu ni wa nguvu (“My foundation is strong)
Ni damu yake Yesu Kristo (It is the blood of Jesus)
Inanitosha sana” (It is enough for me)
Ni damu yake Yesu Kristo (It is the blood of Jesus)
Inanitosha sana” (It is enough for me”)