Tegemeo letu ni Mungu (Our hope is on God)
Hawezi kutuangusha (He will never let us down)
Wakati wengine, wanategemea nguvu zao (When others depend on their strengths)
Sisi za kwetu, zinatoka kwa Mungu (Ours come from God)
Hatima ya maisha yetu, ni mikononi mwake (Our life’s fate are in His hands)
Maana ametuchora kwenye viganja vyake (For He has drawn us on His palms)
Ah! Eh! Kwa msaada wa Mungu (Ah! Eh! With God’s help)
Tutafanya makuu (We shall do great things)
Ah! Eh! Kwa msaada wa Mungu (Ah! Eh! With God’s help)
Tutatenda makuu (We will do great things)